• About
  • Advertise
  • Careers
  • Contact
Monday, December 16, 2019
No Result
View All Result
NEWSLETTER
Swahili Cloud
-18 °c
  • HOME
  • BONGO5
  • MPEKUZIHURU
  • MWANANCHI
  • SWAHILITIMES
  • MICHUZI
  • HOME
  • BONGO5
  • MPEKUZIHURU
  • MWANANCHI
  • SWAHILITIMES
  • MICHUZI
No Result
View All Result
Swahili Cloud
No Result
View All Result

Home Mwananchi

Mbunge CCM ataka majina waliouziwa ardhi

by InterWolf
December 4, 2019
in Mwananchi
0
Mbunge CCM ataka majina waliouziwa ardhi
Share on FacebookShare on Twitter

RelatedPosts

Jinsi vyama vikubwa vya siasa Afrika vilivyoanguka

Masimulizi ya wanusurika wa vitendo vya ukeketaji kwa wanawake

Wanafunzi UDSM waipa bodi saa 72 kuwalipa mikopo

By Rajabu Athumani, Mwananchi [email protected]

Handeni. Mbunge wa Handeni Mjini (CCM) nchini Tanzania, Omari Kigoda ameagiza kupelekewa majina ya waliopewa maeneo na kufanya shughuli za kilimo katika malisho la mlima Mkuzi.

Dinemart Online Grocery Ordering & Delivery

Amesema hata kama ni viongozi ni vyema majina hayo yakapelekwa ili kufahamu wamepata kwa njia gani.

Kigoda ametoa kauli hiyo leo Jumatano Desemba 4, 2019 katika ziara yake ya kusikiliza kero za wananchi kata ya Kwamagome.

Katika ziara hiyo amekutana na  kundi la wafugaji waliomlalamikia kuwa wananyanyaswa na kunyimwa uhuru wa kufuga huku wakiwatuhumu viongozi kuuza maeneo bila kufuata utaratibu.

“Mimi siogopi, naagiza nyie wenyeviti (wa Srikali za mitaa) mkutane na kuniorodheshea watu wote wanaolima huko kwenye eneo la malisho.”

“Kibali cha kulima humo wamepewa na nani wakati kuna pingamizi (makahamani), pia kuna amri ya mkuu wa wilaya aliyepita Husna Msangi kuwa njia za mifugo zifunguliwe mbona hakuna kilichofanyika,” amesema Kigoda.

Advertisement

Mwenyekiti wa wafugaji wilaya ya Handeni, Paul Matema amesema hatua za haraka zisipochukuliwa kuthibiti mambo yanayoendelea katika msitu huo wa malisho kunaweza kutokea ugomvi kwa kuwa wafugaji watachoka kuvumilia.

Diwani Kwamagome, Mussa Mkombati amesema suala hilo lipo mahakamani na wanasubiri majibu ili kutatua kero hiyo ambayo ni kubwa katika kata yake.

Chanzo

ShareTweetShare

Related Posts

Jinsi vyama vikubwa vya siasa Afrika vilivyoanguka

Jinsi vyama vikubwa vya siasa Afrika vilivyoanguka

by InterWolf
December 16, 2019
0

By Mwandishi Wetu, Mwananchi Tahadhari iliyotolewa na Rais John Magufuli kwa chama tawala (CCM) kuwa kiache kuongoza kwa mazoea kwani...

Masimulizi ya wanusurika wa vitendo vya ukeketaji kwa wanawake

Masimulizi ya wanusurika wa vitendo vya ukeketaji kwa wanawake

by InterWolf
December 16, 2019
0

Mwaka huu timu ya vijana watano wa Kitanzania: Diana Lukumay, Rebeca Gyumi, Dkt Joakim Mabula, Doris Mollel na Neema Ngelime...

Wanafunzi UDSM waipa bodi saa 72 kuwalipa mikopo

Wanafunzi UDSM waipa bodi saa 72 kuwalipa mikopo

by InterWolf
December 16, 2019
0

By Elias Msuya, Mwananchi Dar es Salaam. Serikali ya wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (Daruso) nchini...

Ni mwaka wa watu weusi mashindano ya urembo duniani

Ni mwaka wa watu weusi mashindano ya urembo duniani

by InterWolf
December 15, 2019
0

By Nasra Abdallah, Mwananchi Wakati Toni-Ann Singh kutoka nchini Jamaika akitawazwa rasmi kuwa mrembo wa dunia kwa mwaka 2019,...

Waziri aishauri Ufaransa kufundisha Kiswahili kwenye vyuo vyao

Waziri aishauri Ufaransa kufundisha Kiswahili kwenye vyuo vyao

by InterWolf
December 15, 2019
0

By Nasra Abdallah, Mwananchi Dar es Salaam. Vyuo vikuu nchini Ufaransa vimeshauriwa kuweka somo la Kiswahili katika mitaala yao...

Mke, mume wavamiwa wakatwa mapanga wakiwa wamelala

Mke, mume wavamiwa wakatwa mapanga wakiwa wamelala

by InterWolf
December 15, 2019
0

By Mary Clemence, Mwananchi Katavi. Hofu, simanzi na majonzi zimetawala kwa wakazi wa Mtaa wa Migazini  Manispaa ya Mpanda...

Next Post
Habari Zilizopo Katika Magazeti Ya Leo Alhamisi December 5

Habari Zilizopo Katika Magazeti Ya Leo Alhamisi December 5

NAIBU WAZIRI KWANDIKWA AFUATILIA UTEKELEZAJI WA AGIZO LA RAIS

NAIBU WAZIRI KWANDIKWA AFUATILIA UTEKELEZAJI WA AGIZO LA RAIS

Mradi wa REGROW kuanza kumaliza changamoto za miundo mbinu hifadhi ya Taifa ya Ruaha Inbox x

Mradi wa REGROW kuanza kumaliza changamoto za miundo mbinu hifadhi ya Taifa ya Ruaha Inbox x

Recommended

Harmonize Kumvaa Kiba Jukwaani

Harmonize Kumvaa Kiba Jukwaani

2 weeks ago
Hati ya BBC inakwenda ndani ya kituo cha ujasiri cha Facebook

Hati ya BBC inakwenda ndani ya kituo cha ujasiri cha Facebook

5 months ago

Popular News

    • About
    • Advertise
    • Careers
    • Contact

    © 2019 All Rights Reserved by GOD

    No Result
    View All Result
    • HOME
    • BONGO5
    • MPEKUZIHURU
    • MWANANCHI
    • SWAHILITIMES
    • MICHUZI

    © 2019 All Rights Reserved by GOD

    Login to your account below

    Forgotten Password? Sign Up

    Fill the forms bellow to register

    All fields are required. Log In

    Retrieve your password

    Please enter your username or email address to reset your password.

    Log In