• About
  • Advertise
  • Careers
  • Contact
Tuesday, December 10, 2019
No Result
View All Result
NEWSLETTER
Swahili Cloud
-18 °c
  • HOME
  • BONGO5
  • MPEKUZIHURU
  • MWANANCHI
  • SWAHILITIMES
  • MICHUZI
  • HOME
  • BONGO5
  • MPEKUZIHURU
  • MWANANCHI
  • SWAHILITIMES
  • MICHUZI
No Result
View All Result
Swahili Cloud
No Result
View All Result

Home Mwananchi

Waziri Mwakyembe aitabiria makubwa Kilimanjaro Stars

by InterWolf
December 3, 2019
in Mwananchi
0
Waziri Mwakyembe aitabiria makubwa Kilimanjaro Stars
Share on FacebookShare on Twitter
By OLIPA ASSA

Dar es Salaam.Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo, Dk Harrison Mwakyembe anaamini Kilimanjaro Stars itakwenda kufanya maajabu Uganda katika mashindano ya Kombe la Chalenji.

Dinemart Online Grocery Ordering & Delivery

Mashindano hayo yataanza Desemba 7, timu za taifa za Tanzania Bara ‘Kilimanjaro Stars’ na Zanzibar ‘Zanzibar Heroes’ zimepangwa kukutana katika mchezo wa ufunguzi wa kundi C.

Mechi hiyo itachezwa Jumapili saa 10 jioni jijini Jinja mara baada ya kumalizika kwa mchezo wa kwanza wa kundi hilo baina ya Kenya na Djibout ambao utachezwa kuanzia saa 8.30 mchana.

Akizungumza katika mazoezi ya Kilimanjaro Stars, Mwakyembe amesema anapoona wachezaji wanavyojituma katika mazoezi ndio itakuwa silaha ya kufanya vyema.

Mwakyembe ameshuhudia mazoezi hayo yanayoendelea Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam yanayosimamiwa na kocha Etienne Ndayiragije, Juma Mgunda pamoja na wasaidizi wao Seleman Matola na Zuber Katwila.

“Tanzania kwa sasa tupo juu na tunaheshimika ingawa tukikutana na timu inajiandaa zaidi tunarudi tulipotoka,”

Advertisement

“Kikubwa wachezaji wajitume wajiamini na kujua nyuma kuna kundi la Watanzania ambao linawategemea wafanya kitu cha tofauti.

“Watanzania pia waiunge mkono timu yao kwani sapoti yao ni muhimu zaidi kuwapa moyo wachezaji wasijione wapo wenyewe,”amesema Mwakyembe.

Chanzo

RelatedPosts

Mfungwa aliyeachiwa kwa msamaha wa Magufuli aeleza alichojifunza jela

LIVE: Mamia wamuaga Mufuruki Dar

Mbowe atua mkutano wa Bavicha usiku akitokea Mwanza

ShareTweetShare

Related Posts

Mfungwa aliyeachiwa kwa msamaha wa Magufuli aeleza alichojifunza jela

Mfungwa aliyeachiwa kwa msamaha wa Magufuli aeleza alichojifunza jela

by InterWolf
December 10, 2019
0

By Johari Shani, Mwananchi Mwanza. Timotheo Silas aliyehukumiwa kifungo cha miaka 30 jela kwa kosa la unyang’anyi mwaka 2000...

LIVE: Mamia wamuaga Mufuruki Dar

LIVE: Mamia wamuaga Mufuruki Dar

by InterWolf
December 10, 2019
0

By Peter Elias na Asna Kaniki, Mwananchi Dar es Salaam. Mamia ya waombolezaji wamejitokeza katika ukumbi wa kimataifa wa...

Mbowe atua mkutano wa Bavicha usiku akitokea Mwanza

Mbowe atua mkutano wa Bavicha usiku akitokea Mwanza

by InterWolf
December 9, 2019
0

By Mwandishi wetu,Mwananchi Dar es Salaam. Mwenyekiti  wa Chadema, Freeman Mbowe leo Jumatatu Desemba 9, 2019 saa 2:15 usiku...

Watanzania waishio China kusherehekea miaka 58 ya Uhuru Desemba 14

Watanzania waishio China kusherehekea miaka 58 ya Uhuru Desemba 14

by InterWolf
December 9, 2019
0

By Zourha Malisa, Mwananchi Dar es Salaam. Jumuiya ya Watanzania wanaosoma na kuishi mjini Wuhan nchini  China watasherehekea miaka...

Maeneo ya Ziwa Victoria kinara wa bandari bubu Tanzania

Maeneo ya Ziwa Victoria kinara wa bandari bubu Tanzania

by InterWolf
December 9, 2019
0

By Mwandishi wetu, Mwananchi Mwanza. Katika kipindi cha takribani mwaka mmoja, bandari bubu 164 katika maeneo ya maziwa na...

Mwili wa Mufuruki kuagwa kwa saa sita kesho

Mwili wa Mufuruki kuagwa kwa saa sita kesho

by InterWolf
December 9, 2019
0

By Julius Mnganga, Mwananchi Dar es Salaam. Kuanzia Saa 1:30 kesho asubuhi hadi saa 6:00 adhuhuri, wananchi watauaga mwili...

Next Post
Tanasha Afungasha Virago, Asepa Kwao, Mama Dangote Atajwa

Tanasha Afungasha Virago, Asepa Kwao, Mama Dangote Atajwa

Bodi ya Manunuzi na Ugavi Yaagizwa Kuwachukulia Hatua Wanunuzi Waliokwenda Kinyume Na Maadili

Bodi ya Manunuzi na Ugavi Yaagizwa Kuwachukulia Hatua Wanunuzi Waliokwenda Kinyume Na Maadili

Yaelezwa hayati Robert Mugabe aliacha mali hizi bila wosia wowote unaotaja mgawanyo, Sasa sheria kuingilia – Video

Yaelezwa hayati Robert Mugabe aliacha mali hizi bila wosia wowote unaotaja mgawanyo, Sasa sheria kuingilia – Video

Recommended

Taarifa ya TCU Kuhusu Waombaji Vyuo Vikuu 2019/2020 Waliochaguli Zaidi ya Chuo Kimoja

Taarifa ya TCU Kuhusu Waombaji Vyuo Vikuu 2019/2020 Waliochaguli Zaidi ya Chuo Kimoja

4 months ago
VIDEO: 43,200 wafanyiwa upasuaji Moi tangu mwaka 2015

VIDEO: 43,200 wafanyiwa upasuaji Moi tangu mwaka 2015

3 weeks ago

Popular News

    • About
    • Advertise
    • Careers
    • Contact

    © 2019 All Rights Reserved by GOD

    No Result
    View All Result
    • HOME
    • BONGO5
    • MPEKUZIHURU
    • MWANANCHI
    • SWAHILITIMES
    • MICHUZI

    © 2019 All Rights Reserved by GOD

    Login to your account below

    Forgotten Password? Sign Up

    Fill the forms bellow to register

    All fields are required. Log In

    Retrieve your password

    Please enter your username or email address to reset your password.

    Log In