• About
  • Advertise
  • Careers
  • Contact
Monday, December 16, 2019
No Result
View All Result
NEWSLETTER
Swahili Cloud
-18 °c
  • HOME
  • BONGO5
  • MPEKUZIHURU
  • MWANANCHI
  • SWAHILITIMES
  • MICHUZI
  • HOME
  • BONGO5
  • MPEKUZIHURU
  • MWANANCHI
  • SWAHILITIMES
  • MICHUZI
No Result
View All Result
Swahili Cloud
No Result
View All Result

Home Bongo5

Mourinho atema cheche ‘Nishafunga ukurasa na Man United, sitamwacha salama Old Trafford’ 

by InterWolf
December 3, 2019
in Bongo5
0
Mourinho atema cheche ‘Nishafunga ukurasa na Man United, sitamwacha salama Old Trafford’ 
Share on FacebookShare on Twitter

RelatedPosts

Wizara ya Elimu yatoa agizo Bodi ya Mikopo, wanafunzi wa UDSM

Kocha wa Ufaransa amtaka Giroud kuondoka Chelsea, United, Liver, Arsenal, Madrid na Barca sokoni

Mkubwa Fella: Babu Tale hajasema ukweli kuhusu Clouds (Video)


Kocha mwenye maneno mengi zaidi kunako Premier League, Jose Mourinho amesema kuwa ameshafunga ukurasa na Manchester United hivyo kinachofuata ni kipigo tu ili kuendeleza kuweka rekodi ya kucheza mchezo wake wa nne kwa ushindi pasipo kupoteza akiwa anakisimamia kikosi cha Tottenham.


Dinemart Online Grocery Ordering & Delivery

Tottenham manager Jose Mourinho says his time at Manchester United is 'a closed chapter'

Mourinho anatarajia kukiongoza kikosi cha Tottenham hapo kesho siku ya Jumatano kuwakabili waajiri wake wa zamani Man United kwenye uwanja wa Old Trafford tangu atimuliwe kazi mwezi Desemba mwaka jana.

United imekuwa ikihaha kuhakikisha inarudi kwenye kiwango chake tangu kuwa chini ya Ole Gunnar Solskjaer, huku ikienda kukabiliana na Spurs inayoshika nafasi ya tano wakitofautiana pointi mbili pekee dhidi ya United waliyopo sehemu tisa.

Mourinho returns to United bidding for his fourth straight win as Tottenham manager

”Kwangu mimi nishafunga ukurasa, niliondoka ndani ya klabu, nikiwa nimetumia muda wangu kuendeleza na kuhakikisha kila kitu kinatokea, nilichukua muda wangu kuhakikisha najiandaa kwa changamoto mpya.” amesema Mourinho.

”Ni ukweli kabisa, United kwangu ipo kwenye kitabu changu cha uzoefu, ipo kwenye kitabu changu cha kumbukumbu.”

Mpaka sasa Tottenham tayari imeshinda michezo yake mitatu ya awali ikiwa chini ya Jose Mourinho, ikitinga hatua ya 16 bora Champions League huku ikifanikiwa kushika nafasi ya tano kwenye Premier League.

Mourinho was sacked by United last December and says he's moved on from what happened

Mourinho ameongeza kuwa ”Kwa sasa siwezi kuwachambua tena United. Kufanya uchambuzi dhidi yao kama wapinzani, jinsi wanavyocheza, tunawezaje kuwafunga, wanawezaji kutufunga kwangu hivyo ndiyo vitu vya msingi ninavyoweza.”

Mreno huyo ameonekana kuvutiwa mno na kurejea kwake katika dimba la Old Trafford ”Najiskia vizuri, napenda kucheza mechi kubwa, napenda kucheza na timu bora na kurudi sehemu ambayo nilikuwa na furaha nayo.”

Chanzo


Tags: Michezo
ShareTweetShare

Related Posts

Wizara ya Elimu yatoa agizo Bodi ya Mikopo, wanafunzi wa UDSM

Wizara ya Elimu yatoa agizo Bodi ya Mikopo, wanafunzi wa UDSM

by InterWolf
December 16, 2019
0

Wizara ya Elimu imeiagiza bodi ya mikopo kukutana na uongozi wa Chuo Kikuu Dar es Salaam (DARUSO) leo Disemba 16...

Kocha wa Ufaransa amtaka Giroud kuondoka Chelsea, United, Liver, Arsenal, Madrid na Barca sokoni

Kocha wa Ufaransa amtaka Giroud kuondoka Chelsea, United, Liver, Arsenal, Madrid na Barca sokoni

by InterWolf
December 16, 2019
0

Meneja wa timu ya Ufaransa Didier Deschamps amemtaka mshambuliaji wake wa kimataifa Olivier Giroud, mwenye umri wa miaka 33, kuondoka...

Mkubwa Fella: Babu Tale hajasema ukweli kuhusu Clouds (Video)

Mkubwa Fella: Babu Tale hajasema ukweli kuhusu Clouds (Video)

by InterWolf
December 16, 2019
0

Meneja wa Diamond na WCB, Mkubwa Fella amefunguka kwa kudai kwamba Babu Tale ameshindwa kuanika ukweli kitu kilichowaumiza kuhusu kukataza...

37 Walazwa kwa kula chakula chenye sumu msibani

37 Walazwa kwa kula chakula chenye sumu msibani

by InterWolf
December 16, 2019
0

WATU 37 wamelazwa katika hospital ya rufani jijini Dodoma baada ya kusadikiwa wamekula chakula chenye sumu katika msiba uliotokea eneo...

Wananchi waonywa kuepuka Matapeli wanaotumi mwanya wa msamaha wa Rais Magufuli kwa Wafungwa

Wananchi waonywa kuepuka Matapeli wanaotumi mwanya wa msamaha wa Rais Magufuli kwa Wafungwa

by InterWolf
December 15, 2019
0

Kwa mujibu wa Eatv, Kufuatia taarifa iliyotolewa leo Disemba 15, 2019, na msemaji wa Jeshi hilo Amina Kavirondo, imewataka wananchi...

Kifahamu Kijiji chenye watu wenye sura mbaya zaidi duniani

Kifahamu Kijiji chenye watu wenye sura mbaya zaidi duniani

by InterWolf
December 15, 2019
0

Kijiji kimoja kinachofahamika kama Piobbico kimekuwa maarufu kwa kuwa na watu wenye sura mbovu zaidi duniani na kwa sasa dhana...

Next Post
Sura mpya Chadema zakuna wadau

Sura mpya Chadema zakuna wadau

Joshua vs Andy Ruiz Jr kukosa Boxing Ring Girls

Joshua vs Andy Ruiz Jr kukosa Boxing Ring Girls

Nsato Marijani : Umakini unahitajika tunapohakiki wakimbizi Dar

Nsato Marijani : Umakini unahitajika tunapohakiki wakimbizi Dar

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Recommended

Habari Zilizopo Katika Magazeti Ya Leo Jumanne October 1

Habari Zilizopo Katika Magazeti Ya Leo Jumanne October 1

3 months ago
Bunge laitishwa tena Uingereza

Bunge laitishwa tena Uingereza

3 months ago

Popular News

    • About
    • Advertise
    • Careers
    • Contact

    © 2019 All Rights Reserved by GOD

    No Result
    View All Result
    • HOME
    • BONGO5
    • MPEKUZIHURU
    • MWANANCHI
    • SWAHILITIMES
    • MICHUZI

    © 2019 All Rights Reserved by GOD

    Login to your account below

    Forgotten Password? Sign Up

    Fill the forms bellow to register

    All fields are required. Log In

    Retrieve your password

    Please enter your username or email address to reset your password.

    Log In