• About
  • Advertise
  • Careers
  • Contact
Monday, December 16, 2019
No Result
View All Result
NEWSLETTER
Swahili Cloud
-18 °c
  • HOME
  • BONGO5
  • MPEKUZIHURU
  • MWANANCHI
  • SWAHILITIMES
  • MICHUZI
  • HOME
  • BONGO5
  • MPEKUZIHURU
  • MWANANCHI
  • SWAHILITIMES
  • MICHUZI
No Result
View All Result
Swahili Cloud
No Result
View All Result

Home Michuzi

MESSI ATWAA TUZO YA SITA YA BALLON D’OR, AWABWAGA RONALDO, VAN DJIK

by InterWolf
December 3, 2019
in Michuzi
0
MESSI ATWAA TUZO YA SITA YA BALLON D’OR, AWABWAGA RONALDO, VAN DJIK
Share on FacebookShare on Twitter
Na Bakari Madjeshi, Globu ya Jamii
Nyota wa Kimataifa wa Argentina na Klabu ya Soka ya Barcelona ya Hispania, Lionel Messi rasmi ametangazwa kuwa Mshindi wa Tuzo ya Ballon d’or ikiwa ni mara ya 6 kutwaa Tuzo hiyo akiwa ni Mchezaji wa kwanza duniani kuchukua kwa idadi hiyo katika historia ya Soka.
Messi ametwaa tuzo hiyo inayotolewa na Shirikisho la Soka Duniani (FIFA) kwa kushirikiana na Shirikisho la Soka nchini Ufaransa akitwaa mwaka 2009, 2010, 2011, 2012, 2015, 2019.
Katika Tuzo hizo zilizotolewa mjini Paris nchini Ufaransa, Nyota wa Kimataifa wa Marekani kwa upande wa Wanawake, Megan Rapinoe ametajwa katika Tuzo hiyo ya Ballon d’or kwa mwaka huu wa 2019.
Matthijs de Ligt wa Uhoalanzi na Klabu ya Juventus ametajwa katika Tuzo ya Mchezaji Bora Kijana (Kopa Trophy 2019) wakati Jadon Sancho wa Borussia Dortmund akitajwa kwenye nafasi ya Pili na Joao Felix wa Atletico Madrid akitajwa katika nafasi ya tatu.
Golikipa wa Kimataifa wa Brazil na Klabu ya Liverpool, Alisson Becker ametajwa kuwa Kipa Bora wa Tuzo ya maalum iliyopewa Jina la Yachine Trophy 2019.
Wachezaji 3 kutoka Bara la Afrika waliingia katika 10 Bora zakuwania Tuzo hizo za Ballon d’or ambao ni Riyad Mahrez, Sadio Mane na Mohammed Salah, wakati huo Mane ametajwa katika nafasi ya Nne baada ya Mshindi kupatikana ambaye ni Lionel Messi. 
Sherehe za Utoaji Tuzo hizo zilishereheshwa na Mchezaji wa zamani wa Kimataifa wa Ivory Coast na Klabu ya Chelsea, Didier Drogba na Mwandishi wa Habari wa Ufaransa, Mwanadada Sandy Heribert.

Chanzo

Dinemart Online Grocery Ordering & Delivery

RelatedPosts

IMEKULETEA VICHWA VYA HABARI MAGAZETI YA LEO DESEMBA 16,2019

NHIF Yawapiga Msasa Wanahabari Mkoa wa Mbeya Kuhusu Vifurushi vya Bima ya Afya

WATU 37 WALAZWA HOSPITALI YA DODOMA KWA KUHISIWA KULA CHAKULA CHENYE SUMU

ShareTweetShare

Related Posts

IMEKULETEA VICHWA VYA HABARI MAGAZETI YA LEO DESEMBA 16,2019

IMEKULETEA VICHWA VYA HABARI MAGAZETI YA LEO DESEMBA 16,2019

by InterWolf
December 16, 2019
0

Chanzo

NHIF Yawapiga Msasa Wanahabari Mkoa wa Mbeya Kuhusu Vifurushi vya Bima ya Afya

NHIF Yawapiga Msasa Wanahabari Mkoa wa Mbeya Kuhusu Vifurushi vya Bima ya Afya

by InterWolf
December 16, 2019
0

Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Taifa ya Bima ya Afya( NHIF) Bw. Bernard Konga akiongea na wanachama wa Chama cha...

WATU 37 WALAZWA HOSPITALI YA DODOMA KWA KUHISIWA KULA CHAKULA CHENYE SUMU

WATU 37 WALAZWA HOSPITALI YA DODOMA KWA KUHISIWA KULA CHAKULA CHENYE SUMU

by InterWolf
December 15, 2019
0

Charles James, Michuzi TVWatu 37 wamefikisha na kulazwa katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Dodoma (General Hospital)  kwa ugonjwa...

SHILINGI BILIONI 1.8 ZA CHENCHI YA VIFAATIBA, DAWA,NA VITENDEA KAZI KUTUMIKA KWA MAENDELEO NA KUBORESHA HUDUMA BMC

SHILINGI BILIONI 1.8 ZA CHENCHI YA VIFAATIBA, DAWA,NA VITENDEA KAZI KUTUMIKA KWA MAENDELEO NA KUBORESHA HUDUMA BMC

by InterWolf
December 15, 2019
0

Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya BMC ya jijini Mwanza, Profesa Abel Makubi, kulia akifungua moja ya makufuli yaliyofungwa kwenye moja...

MISS JAMAICA ATWAA TAJI LA MISS WORLD 2019

MISS JAMAICA ATWAA TAJI LA MISS WORLD 2019

by InterWolf
December 15, 2019
0

Shindano la Urembo Dunia Miss World 2019, limefanyika usiku wa kuamkia Desemba 15, na Mrembo kutoka nchi ya Jamaica Toni-Ann...

Vodacom Tanzania Plc yawafikia wateja wake wa kanda ya ziwa, msimu huu wa sikukuu yazindua simu mpya ya Smart Kitochi jijini Mwanza

Vodacom Tanzania Plc yawafikia wateja wake wa kanda ya ziwa, msimu huu wa sikukuu yazindua simu mpya ya Smart Kitochi jijini Mwanza

by InterWolf
December 15, 2019
0

Wafanyakazi wa Kampuni ya mawasiliano ya  Vodacom wakiwa wamebeba bango lenye picha ya simu ya Smart Kitochi  wakati wa uzinduzi...

Next Post
Ebitoke Agoma Kutoa Mimba ya Mlela

Ebitoke Agoma Kutoa Mimba ya Mlela

Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Jumanne Disemba 3

Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Jumanne Disemba 3

Messi awabwaga Ronaldo, Van Dijk atwaa Ballon d’Or ya sita

Messi awabwaga Ronaldo, Van Dijk atwaa Ballon d'Or ya sita

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Recommended

Mbunge wa Mbeya mjini, Joseph Mbilinyi ‘Sugu’ afunga ndoa rasmi – Video

Mbunge wa Mbeya mjini, Joseph Mbilinyi ‘Sugu’ afunga ndoa rasmi – Video

4 months ago
Habari Zilizopo Katika Magazeti Ya Leo Jumapili November 3

Habari Zilizopo Katika Magazeti Ya Leo Jumapili November 3

1 month ago

Popular News

    • About
    • Advertise
    • Careers
    • Contact

    © 2019 All Rights Reserved by GOD

    No Result
    View All Result
    • HOME
    • BONGO5
    • MPEKUZIHURU
    • MWANANCHI
    • SWAHILITIMES
    • MICHUZI

    © 2019 All Rights Reserved by GOD

    Login to your account below

    Forgotten Password? Sign Up

    Fill the forms bellow to register

    All fields are required. Log In

    Retrieve your password

    Please enter your username or email address to reset your password.

    Log In