
Mbosso ambaye ni mmoja kati ya wasanii wa WCB waliohudhuria ndoa ya Queen Darleen na mfanyabiashara Isihaka ambapo amedai anawashangaa watu wanaodhani kwamba ilikuwa ni kiki.

[embedded content]
Muimbaji huyo ambaye anafanya vizuri na wimbo Ate amedai, Darleen alikuwa tayari hata kuolewa na mwanaume na kuwa mke wa nne