• About
  • Advertise
  • Careers
  • Contact
Tuesday, December 10, 2019
No Result
View All Result
NEWSLETTER
Swahili Cloud
-18 °c
  • HOME
  • BONGO5
  • MPEKUZIHURU
  • MWANANCHI
  • SWAHILITIMES
  • MICHUZI
  • HOME
  • BONGO5
  • MPEKUZIHURU
  • MWANANCHI
  • SWAHILITIMES
  • MICHUZI
No Result
View All Result
Swahili Cloud
No Result
View All Result

Home Bongo5

Babu mwenye miaka 102 watoto 60 na wajukuu 70 afungua shule yake – Video

by InterWolf
December 3, 2019
in Bongo5
0
Babu mwenye miaka 102 watoto 60 na wajukuu 70 afungua shule yake – Video
Share on FacebookShare on Twitter

RelatedPosts

Nay wa Mitego ampa makavu Diamond “Nasikia baba Tiffah unasema eti Fiesta haikuja, Sasa relax”

Gavana wa Nairobi Sonko amekanusha madai yanayomkabili ya ufisadi, kukaa mahabusu mpaka tarehe hii – Video

Ndege ya kijeshi ya Chile yatoweka na watu 38

Mzee Laibon ni Mkazi wa Kijiji cha Esilalei, wilayani Monduli, mkoani Arusha, anasema kuwa amelazimika kufungua Shule ambayo itaweza kuwa mkombozi kwa wajukuu zake na wale watoto wanaoishi jirani na eneo hilo, ambayo imechagiza hamasa ya elimu katika jamii hiyo ya kifugaji, ambayo kwa muda mrefu imekuwa nyuma katika masuala ya elimu.

Dinemart Online Grocery Ordering & Delivery

Akizungumza na EATV, Mwalimu Abel Langa, ambaye ni mmoja ya walimu katika Shule iliyoanzishwa na Mzee Laibon, amesema muitikio wa elimu katika jamii hiyo, umeendelea kuwa mkubwa na hii imetoa hamasa kubwa ya elimu kwa jamii hiyo.

Aidha katika hatua nyingine, familia ya Mzee Laibon, imeanza kufuata na kuabudu imani ya Kikristo na kuachana na baadhi ya mila potofu kama vile ukeketaji na unyanyasaji wa kijinsia.

By Ally Juma.

Chanzo

Tags: Habari
ShareTweetShare

Related Posts

Nay wa Mitego ampa makavu Diamond “Nasikia baba Tiffah unasema eti Fiesta haikuja, Sasa relax”

Nay wa Mitego ampa makavu Diamond “Nasikia baba Tiffah unasema eti Fiesta haikuja, Sasa relax”

by InterWolf
December 10, 2019
0

Msanii wa muziki wa kizazi kipya Nay wa Mitego ametumia ukurasa wake wa Instagram kutupa dongo kwa Diamond kuhusiana na...

Gavana wa Nairobi Sonko amekanusha madai yanayomkabili ya ufisadi, kukaa mahabusu mpaka tarehe hii – Video

Gavana wa Nairobi Sonko amekanusha madai yanayomkabili ya ufisadi, kukaa mahabusu mpaka tarehe hii – Video

by InterWolf
December 10, 2019
0

Mahakama jijini Nairobi imeamuru Gavana wa Nairobi Mike Sonko kusalia mahabusu hadi siku ya Jumatano (tarehe 11) wakati ombi lake...

Ndege ya kijeshi ya Chile yatoweka na watu 38

Ndege ya kijeshi ya Chile yatoweka na watu 38

by InterWolf
December 10, 2019
0

Ndege ya kijeshi iliokuwa na abiria 38 imetoweka ikielekea Antarctica, kulingana na taarifa ya jeshi la wanahanga wa Chile. Ndege...

Patrick Kanumba aongea kwa machungu “Familia ya Kanumba inanidai kitu, sijafanya chochote kwa ajili yake” – Video

Patrick Kanumba aongea kwa machungu “Familia ya Kanumba inanidai kitu, sijafanya chochote kwa ajili yake” – Video

by InterWolf
December 9, 2019
0

Kijana aliyewahi kufanya kazi nyingi na kumbwa za filamu ambazo zilimtambulisha kwenye tasnia Patrick ambaye alijulikana sana kupitia filamu ya...

Ray Kigosi kuhusu Kanumba “Namuombea sana kwa mungu ampumzishe mahale pema, ipo siku mungu atanichukua na ntakutana nae Inshaalla” – Video

Ray Kigosi kuhusu Kanumba “Namuombea sana kwa mungu ampumzishe mahale pema, ipo siku mungu atanichukua na ntakutana nae Inshaalla” – Video

by InterWolf
December 9, 2019
0

Ray Kigosi azungumza kwa uchungu kuhusu aliyekuwa rafiki yake marehemu kwa sasa Steven Kanumba na kusema  “Namuombea sana kwa mungu...

Benki ya NMB ilivyoshiriki maadhimisho ya siku ya Uhuru wa miaka 58 CCM Kirumba, Mwanza

Benki ya NMB ilivyoshiriki maadhimisho ya siku ya Uhuru wa miaka 58 CCM Kirumba, Mwanza

by InterWolf
December 9, 2019
0

Leo ni maadhimisho ya siku kuu ya Uhuru ambapo kitaifa inafanyika mkoani Mwanza katika uwanja wa CCM Kirumba.Benki ya NMB...

Next Post
Wananchi, NGOs kutoweza kuishtaka Tanzania katika Mahakama ya Haki za Binadamu ya Afrika

Wananchi, NGOs kutoweza kuishtaka Tanzania katika Mahakama ya Haki za Binadamu ya Afrika

Serikali Kuzalisha Zaidi Ya Tani Elfu Hamsini Tatu Za Mbegu Mwaka 2019/2020

Serikali Kuzalisha Zaidi Ya Tani Elfu Hamsini Tatu Za Mbegu Mwaka 2019/2020

Baada ya UNO kufanya vizuri Harmonize aachia video ya aina yake ya ‘Kushoto Kulia’ – Video

Baada ya UNO kufanya vizuri Harmonize aachia video ya aina yake ya ‘Kushoto Kulia’ – Video

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Recommended

Kigamboni Wayafagilia Magazeti ya Risasi na Championi Jumamosi

Kigamboni Wayafagilia Magazeti ya Risasi na Championi Jumamosi

5 months ago
Jinsi ya Kupata Ndoa Wakati wa Blackout

Jinsi ya Kupata Ndoa Wakati wa Blackout

5 months ago

Popular News

    • About
    • Advertise
    • Careers
    • Contact

    © 2019 All Rights Reserved by GOD

    No Result
    View All Result
    • HOME
    • BONGO5
    • MPEKUZIHURU
    • MWANANCHI
    • SWAHILITIMES
    • MICHUZI

    © 2019 All Rights Reserved by GOD

    Login to your account below

    Forgotten Password? Sign Up

    Fill the forms bellow to register

    All fields are required. Log In

    Retrieve your password

    Please enter your username or email address to reset your password.

    Log In