• About
  • Advertise
  • Careers
  • Contact
Tuesday, December 10, 2019
No Result
View All Result
NEWSLETTER
Swahili Cloud
-18 °c
  • HOME
  • BONGO5
  • MPEKUZIHURU
  • MWANANCHI
  • SWAHILITIMES
  • MICHUZI
  • HOME
  • BONGO5
  • MPEKUZIHURU
  • MWANANCHI
  • SWAHILITIMES
  • MICHUZI
No Result
View All Result
Swahili Cloud
No Result
View All Result

Home Mwananchi

Sadio Mane amjibu Pep kujirusha kama kawa

by InterWolf
November 8, 2019
in Mwananchi
0
Sadio Mane amjibu Pep kujirusha kama kawa
Share on FacebookShare on Twitter

RelatedPosts

LIVE: Mamia wamuaga Mufuruki Dar

Mbowe atua mkutano wa Bavicha usiku akitokea Mwanza

Watanzania waishio China kusherehekea miaka 58 ya Uhuru Desemba 14


LIVERPOOL, ENGLAND . STAA Sadio Mane amesema ataendelea kujiangusha kupata penalti kwa ajili ya kuisaidia Liverpool.


Dinemart Online Grocery Ordering & Delivery

Fowadi huyo wa kimataifa wa Senegal alishutumiwa na Kocha wa Manchester City, Pep Guardiola kuwa amekuwa akijiangusha ili kupata penalti, wakati alipofanya hivyo kwenye mchezo dhidi ya Aston Villa wikiendi iliyopita.

Kocha wa Liverpool, Jurgen Klopp alimjibu Guardiola akisema Mane hajiangushi, lakini mchezaji mwenyewe amesema hatabadilisha staili yake ya kiuchezaji Jumapili wakati watakapokabiliana na Man City kwenye Ligi Kuu England.

Mane alisema: “Kama nikiona itakuwa penalti bila ya shaka nitajiangusha. Kama kufanya hivyo ni penalti, nitafanya, kwanini nisifanye?”

Mane alionyeshwa kadi ya njano kutokana na kujiangusha na kujitetea akiungana na kocha wake: “Lakini anachokisema Jurgen ni sahihi. Mimi sijiangushi.”

Mane anaamini maneno hayo ya Guardiola yanaweza kumshawishi Mwamuzi Michael Oliver kumtolea macho zaidi kwenye mchezo wa timu zao utakaofanyika Anfield.

Advertisement

Jumapili hii, Liverpool itakuwa mwenyeji wa Manchester City pale Anfiled.

Chanzo


ShareTweetShare

Related Posts

LIVE: Mamia wamuaga Mufuruki Dar

LIVE: Mamia wamuaga Mufuruki Dar

by InterWolf
December 10, 2019
0

By Peter Elias na Asna Kaniki, Mwananchi Dar es Salaam. Mamia ya waombolezaji wamejitokeza katika ukumbi wa kimataifa wa...

Mbowe atua mkutano wa Bavicha usiku akitokea Mwanza

Mbowe atua mkutano wa Bavicha usiku akitokea Mwanza

by InterWolf
December 9, 2019
0

By Mwandishi wetu,Mwananchi Dar es Salaam. Mwenyekiti  wa Chadema, Freeman Mbowe leo Jumatatu Desemba 9, 2019 saa 2:15 usiku...

Watanzania waishio China kusherehekea miaka 58 ya Uhuru Desemba 14

Watanzania waishio China kusherehekea miaka 58 ya Uhuru Desemba 14

by InterWolf
December 9, 2019
0

By Zourha Malisa, Mwananchi Dar es Salaam. Jumuiya ya Watanzania wanaosoma na kuishi mjini Wuhan nchini  China watasherehekea miaka...

Maeneo ya Ziwa Victoria kinara wa bandari bubu Tanzania

Maeneo ya Ziwa Victoria kinara wa bandari bubu Tanzania

by InterWolf
December 9, 2019
0

By Mwandishi wetu, Mwananchi Mwanza. Katika kipindi cha takribani mwaka mmoja, bandari bubu 164 katika maeneo ya maziwa na...

Mwili wa Mufuruki kuagwa kwa saa sita kesho

Mwili wa Mufuruki kuagwa kwa saa sita kesho

by InterWolf
December 9, 2019
0

By Julius Mnganga, Mwananchi Dar es Salaam. Kuanzia Saa 1:30 kesho asubuhi hadi saa 6:00 adhuhuri, wananchi watauaga mwili...

Sekta binafsi yamlilia bilionea Ali Mufuruki

Sekta binafsi yamlilia bilionea Ali Mufuruki

by InterWolf
December 9, 2019
0

By Asna Kaniki, Mwananchi Dar es Salaam. Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi Binafsi Nchini Tanzania (TPSF), Godfrey Simbeye amesema kifo...

Next Post
Wenger kumbe anaitaka Bayern

Wenger kumbe anaitaka Bayern

Zahera kumbe katumia Sh114 milioni Yanga, afichua madudu ya safari

Zahera kumbe katumia Sh114 milioni Yanga, afichua madudu ya safari

BREAKING NYUZZZZ….: Bibi aliyemuua mjukuu wake kwa kipigo ahakumiwa kunyongwa hadi kufa

BREAKING NYUZZZZ....: Bibi aliyemuua mjukuu wake kwa kipigo ahakumiwa kunyongwa hadi kufa

Recommended

Samatta: Van Dijk ataijua tu Tanzania

Samatta: Van Dijk ataijua tu Tanzania

3 months ago
TRA YAKABIDHI VYETI VYA UTAMBULISHO WA MLIPA KODI WILAYANI KIBITI MKOA WA PWANI

TRA YAKABIDHI VYETI VYA UTAMBULISHO WA MLIPA KODI WILAYANI KIBITI MKOA WA PWANI

4 weeks ago

Popular News

    • About
    • Advertise
    • Careers
    • Contact

    © 2019 All Rights Reserved by GOD

    No Result
    View All Result
    • HOME
    • BONGO5
    • MPEKUZIHURU
    • MWANANCHI
    • SWAHILITIMES
    • MICHUZI

    © 2019 All Rights Reserved by GOD

    Login to your account below

    Forgotten Password? Sign Up

    Fill the forms bellow to register

    All fields are required. Log In

    Retrieve your password

    Please enter your username or email address to reset your password.

    Log In