• About
  • Advertise
  • Careers
  • Contact
Wednesday, December 11, 2019
No Result
View All Result
NEWSLETTER
Swahili Cloud
-18 °c
  • HOME
  • BONGO5
  • MPEKUZIHURU
  • MWANANCHI
  • SWAHILITIMES
  • MICHUZI
  • HOME
  • BONGO5
  • MPEKUZIHURU
  • MWANANCHI
  • SWAHILITIMES
  • MICHUZI
No Result
View All Result
Swahili Cloud
No Result
View All Result

Home SwahiliTimes

Mchango wa sekta ya mawasilino katika kuijenga Tanzania ya Viwanda

by InterWolf
August 13, 2019
in SwahiliTimes
0
Mchango wa sekta ya mawasilino katika kuijenga Tanzania ya Viwanda
Share on FacebookShare on Twitter

RelatedPosts

Ifahamu kiundani simu mpya Infinix S5 yenye kamera 5

Mfungwa aliyepewa msamaha na Rais Magufuli akataa kutoka gerezani, ataka kuhamishiwa Gereza la Ukonga

Makala: Jinsi ya kupambana na mning’inio (hangover)


By John Nangi (UCC, UDSM)


Dinemart Online Grocery Ordering & Delivery

Ni wazi kuwa kwa sasa serikali imejikita zaidi kuhakikisha kuwa Tanzania inafikia lengo la kuwa na uchumi wa viwanda, uchumi wa kati ifikapo mwaka 2025.

Katika mkakati huo, serikali inahakikisha kuwa uchumi unakua na hii inaambatana na kuchagiza sekta binafsi kuwekeza katika viwanda katika maeneo mbalimbali nchini ili kuhakikisha lengo linafikiwa.

Hadi sasa sekta binafsi kwa kiasi kikubwa imefanikiwa kuonyesha uwezo wake linapokuja suala la kuwa na mchango chanya kwenye uchumi wa nchi. Ukichukua sekta ya mawasiliano kama moja ya mfano wa sekta binafsi, ni rahisi kuona mchango mkubwa ambao sekta hiyo imeweka kwenye ukuaji wa uchumi.

Kwa mwaka 2016 pekee mchango wa sekta ya mawasiliano pekee ulikuwa ni dola za Kimarekani 2.5 bilioni kiwango ambacho kinatabiriwa kuongezeka na kufikia dola za Kimarekani 4 bilioni ifikapo mwaka 2020, sawa na zaidi ya asilimia 6 ya pato la taifa la Tanzania (GDP).

Kama tunataka kuhakikisha kuwa mchango huu mkubwa na muhimu unaendelea kuwepo, lazima kuna mambo ya msingi katika soko yazingatiwe.

Kwa sasa kuna kampuni 8 za mawasiliano zinazofanya kazi katika soko la Tanzania. Licha ya kuwa wingi huo wa kampuni unaweza kuonekana ni jambo jema, lakini hali sivyo ilivyo.

Wataalamu wa masoko na biashara wanaweka bayana kuwa Kupunguza idadi ya kampuni katika soko la mawasiliano nchini, kutawezesha uwekezaji mkubwa wenye tija katika sekta hiyo ikiwemo uwepo wa mtaji tosha kuweka mitambo bora zaidi ya kimawasiliano, jambo ambalo litapelekea utoaji huduma bora kwa wananchi.

Mfano Kwa kuunganisha kampuni mbili au zaidi, wateja wa kampuni zitakazoungana wataweza kutumia huduma zinazotolewa na pande zote mbili. Kwa kuzingatia hilo, wateja watapata huduma bora inayoendana na thamani ya fedha yao, pamoja na kuwa na mtandao (network) kubwa na imara zaidi.

Ni muhimu kuwekwa msisitizo wa kuimarisha sekta ya mawasiliano kwa kuunganisha kampuni kama hatua mojawapo muhimu. Hatua hiyo italeta manufaa yenye tija zaidi, na kuwezesha utoaji huduma bora, pamoja na sekta kukua katika kiwango bora.

Chanzo


Tags: Habari
ShareTweetShare

Related Posts

Ifahamu kiundani simu mpya Infinix S5 yenye kamera 5

Ifahamu kiundani simu mpya Infinix S5 yenye kamera 5

by InterWolf
December 10, 2019
0

Kila mmoja anapenda kuwa na simu kali na ya kijanja. Kwa kutambua hilo tunakuletea Infinix S5, simu yenye ubora wa...

Mfungwa aliyepewa msamaha na Rais Magufuli akataa kutoka gerezani, ataka kuhamishiwa Gereza la Ukonga

Mfungwa aliyepewa msamaha na Rais Magufuli akataa kutoka gerezani, ataka kuhamishiwa Gereza la Ukonga

by InterWolf
December 10, 2019
0

Katika kuadhimishi kumbukumbu ya siku ya Uhuru wa Tanganyika, maadhimisho ambayo hufanyika kila mwaka Disemna 9, jana Rais Dkt Magufuli...

Makala: Jinsi ya kupambana na mning’inio (hangover)

Makala: Jinsi ya kupambana na mning’inio (hangover)

by InterWolf
December 10, 2019
0

Mning’inio (hangover) ni mkusanyiko wa hali ya kutojisikia vizuri kimwili ikiwemo maumivu makali ya kichwa na kichefuchefu baada ya kunywa...

Mbowe amwambia Rais Magufuli ana nafasi ya kuweka historia ya maridhiano

Mbowe amwambia Rais Magufuli ana nafasi ya kuweka historia ya maridhiano

by InterWolf
December 9, 2019
0

Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe amesema uamuzi wake wa kuhudhuria Sherehe za Miaka 58 ya...

Mubashara: Sherehe za Miaka 58 ya Uhuru wa Tanganyika

Mubashara: Sherehe za Miaka 58 ya Uhuru wa Tanganyika

by InterWolf
December 9, 2019
0

Fuatilia matangazo ya moja kwa moja kutoka Uwanja wa CCM Kirumba, jijini Mwanza ambazo zinafanyika sherehe za maadhimisho yasherehe za...

Mrembo wa Afrika Kusini atwaa taji la Miss Universe 2019

Mrembo wa Afrika Kusini atwaa taji la Miss Universe 2019

by InterWolf
December 9, 2019
0

Mrembo kutoka Afrika Kusini, #ZozibiniTunzi (26) ameshinda taji la #MissUniverse2019 katika mashindano yaliyofanyika jijini Manila nchini Ufilipino. Mrembo huyo aliwashinda...

Next Post
Tanzania’s telecoms sector can contribute to her industrialization agenda

Tanzania’s telecoms sector can contribute to her industrialization agenda

Wema Azua Hofu Ukumbini!

Wema Azua Hofu Ukumbini!

DC wa Kibaha, Bi Assumpter Mshana atinga ofisi za Osha na ujumbe huu

DC wa Kibaha, Bi Assumpter Mshana atinga ofisi za Osha na ujumbe huu

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Recommended

Habari Zilizopo Katika Magazeti Ya Leo Alhamisi 11 July

Habari Zilizopo Katika Magazeti Ya Leo Alhamisi 11 July

5 months ago
Dante aibana Yanga, Samatta naye aiponza Simba Sc

Dante aibana Yanga, Samatta naye aiponza Simba Sc

1 month ago

Popular News

    • About
    • Advertise
    • Careers
    • Contact

    © 2019 All Rights Reserved by GOD

    No Result
    View All Result
    • HOME
    • BONGO5
    • MPEKUZIHURU
    • MWANANCHI
    • SWAHILITIMES
    • MICHUZI

    © 2019 All Rights Reserved by GOD

    Login to your account below

    Forgotten Password? Sign Up

    Fill the forms bellow to register

    All fields are required. Log In

    Retrieve your password

    Please enter your username or email address to reset your password.

    Log In